Inasemekana wanawake wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao:
- Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
- Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
kubembeleza hata kdogo - Wasichana wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS NA KITHEMBE, hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.
- Wasichana WANENE huongoza kwa MAPENZI YA KWELI yaani akipenda amependa kweli
- Wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni WABISHI sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
- Wasichana wenye NGOZI NYEUSIwanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
- Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kulko wanaume weusi.