Diamond aliitwa na Polisi na kwenye hiyo picha pia anaonekana Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Kamanda Mohamed Mpinga na kilichofanya aitwa Polisi ni ile video fupi iliyosambaa ikimuonyesha Diamond akiendesha gari bila kufun ga mkanda na kucheza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)